Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 21:42

Mathayo 21:42 NEN

Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la ajabu machoni petu’?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 21:42