Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 17:5

Mathayo 17:5 NEN

Petro alipokuwa angali ananena, ghafula wingu lililongʼaa likawafunika, na sauti ikatoka kwenye hilo wingu ikisema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa naye sana. Msikieni yeye.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 17:5