Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:25-27

Mathayo 15:25-27 NEN

Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!” Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Yule mwanamke akajibu, “Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka kwenye meza za bwana zao.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:25-27