Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:11-12

Malaki 3:11-12 NEN

Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. “Ndipo mataifa yote yatawaita mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 3:11-12