Luka 22:66, 67, 68, 69, 70
Luka 22:66 NENO
Kulipopambazuka, Baraza la Wazee, yaani viongozi wa makuhani na walimu wa Torati, wakakutana pamoja, naye Isa akaletwa mbele yao.
Luka 22:67 NENO
Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia, hamtaamini.
Luka 22:69 NENO
Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.”
Luka 22:70 NENO
Wote wakauliza, “Wewe basi ndiwe Mwana wa Mungu?” Yeye akawajibu, “Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.”