YouVersion Logo
Search Icon

Luka 1:2, 3, 4

Luka 1:2 NENO

kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale waliokuwa mashahidi walioyaona na watumishi wa lile neno tokea mwanzo

Luka 1:3 NENO

mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo

Luka 1:4 NENO

ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa.