Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 19:32-33

Walawi 19:32-33 NEN

“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi BWANA. “ ‘Wakati mgeni anaishi pamoja nawe katika nchi yako, usimnyanyase.

Video for Walawi 19:32-33