Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 3:32-33

Maombolezo 3:32-33 NEN

Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. Kwa maana hapendi kuwaletea mateso au huzuni watoto wa wanadamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 3:32-33