Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 10:25

Yoshua 10:25 NEN

Yoshua akawaambia, “Msiogope, wala msivunjike moyo. Kuweni hodari na wenye ushujaa. Hili ndilo BWANA atakalowatendea adui zenu wote mnaokwenda kupigana nao.”