Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:38-40

Yohana 6:38-40 NEN

Kwa kuwa nimeshuka kutoka mbinguni si ili kufanya mapenzi yangu, bali mapenzi yake yeye aliyenituma. Haya ndiyo mapenzi yake yeye aliyenituma, kwamba, nisimpoteze hata mmoja wa wale alionipa, bali niwafufue siku ya mwisho. Kwa maana mapenzi ya Baba yangu ni kwamba kila mmoja amtazamaye, Mwana na kumwamini awe na uzima wa milele, nami nitawafufua siku ya mwisho.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:38-40