YouVersion Logo
Search Icon

Yohana 19:1, 2, 3

Yohana 19:1 NENO

Ndipo Pilato akamtoa Isa akaamuru apigwe mijeledi.

Yohana 19:2 NENO

Askari wakasokota taji la miiba, wakamvika Isa kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.

Yohana 19:3 NENO

Wakawa wanapanda pale alipo tena na tena, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” Huku wakimpiga makofi usoni.