Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 18:1

Yohana 18:1 NEN

Yesu alipomaliza kuomba, akaondoka na wanafunzi wake wakavuka Bonde la Kidroni. Upande wa pili palikuwa na bustani, yeye na wanafunzi wake wakaingia humo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 18:1