Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 13:4-5

Yohana 13:4-5 NEN

hivyo aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni. Kisha akamimina maji kwenye sinia na kuanza kuwanawisha wanafunzi wake miguu na kuikausha kwa kile kitambaa alichokuwa amejifunga kiunoni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 13:4-5