Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 9:23-24

Yeremia 9:23-24 NEN

Hili ndilo asemalo BWANA: “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili: kwamba ananifahamu na kunijua mimi, kwamba mimi ndimi BWANA, nitendaye wema, hukumu na haki duniani, kwa kuwa napendezwa na haya,” asema BWANA.