Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 11:3-4

Yeremia 11:3-4 NEN

Waambie kwamba hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa Israeli: ‘Amelaaniwa mtu ambaye hatayatii maneno ya agano hili, maneno niliyowaamuru baba zenu nilipowatoa katika nchi ya Misri, kutoka tanuru la kuyeyushia vyuma.’ Nilisema, ‘Nitiini mimi na mfanye kila kitu ninachowaamuru, nanyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.