Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waamuzi 6:11

Waamuzi 6:11 NEN

Malaika wa BWANA akaja akaketi chini ya mti wa mwaloni huko Ofra, ambao ulikuwa mali ya Yoashi, Mwabiezeri, ambako Gideoni mwanawe alikuwa akipepeta ngano penye shinikizo la kukamulia zabibu, ili kuificha Wamidiani wasiione.