Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 39:6

Isaya 39:6 NEN

Hakika wakati unakuja ambapo vitu vyote katika jumba lako la kifalme, na vyote ambavyo baba zako waliweka akiba mpaka siku hii, vitachukuliwa kwenda Babeli. Hakuna chochote kitakachosalia, asema BWANA.