Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 37:20

Isaya 37:20 NEN

Sasa basi, Ee BWANA Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili kwamba falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee BWANA, ndiwe Mungu.”