Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 1:18

Isaya 1:18 NEN

“Njooni basi tuhojiane,” asema BWANA. “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, zitakuwa nyeupe kama theluji; ingawa ni nyekundu sana kama damu, zitakuwa nyeupe kama sufu.