Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 1:1-2

Waebrania 1:1-2 NEN

Zamani Mungu alisema na baba zetu kwa njia ya manabii mara nyingi na kwa njia mbalimbali, lakini katika siku hizi za mwisho anasema nasi kwa njia ya Mwanawe, ambaye amemweka kuwa mrithi wa vitu vyote, na ambaye kupitia kwake aliuumba ulimwengu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 1:1-2