Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hagai 2:4

Hagai 2:4 NEN

Lakini sasa uwe imara, ee Zerubabeli,’ asema BWANA. ‘Kuwa imara, ee kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki. Mwe imara, enyi watu wote wa nchi,’ asema BWANA, ‘na mfanye kazi. Kwa kuwa mimi nipo pamoja nanyi,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hagai 2:4