Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 43:30

Mwanzo 43:30 NEN

Akiwa ameguswa sana kwa kumwona ndugu yake, Yosefu akatoka nje kwa haraka na kutafuta mahali pa kulilia. Akaingia kwenye chumba chake cha pekee na kulilia humo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 43:30