Mwanzo 4:25-26
Mwanzo 4:25-26 NENO
Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita jina Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Habili, kwa kuwa Kaini alimuua.” Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita jina Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Mwenyezi Mungu.