Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 3:1

Mwanzo 3:1 NEN

Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini ambao BWANA Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati kweli Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 3:1