Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 24:67

Mwanzo 24:67 NEN

Ndipo Isaki akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake, Isaki akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaki akampenda, akafarijika baada ya kifo cha mama yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 24:67