Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:19-20

Mwanzo 2:19-20 NEN

Basi BWANA Mungu alikuwa amefanyiza kutoka ardhi wanyama wote wa porini na ndege wote wa angani. Akawaleta kwa huyu mtu aone atawaitaje, nalo jina lolote alilokiita kila kiumbe hai, likawa ndilo jina lake. Hivyo Adamu akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, ndege wa angani, na wanyama wote wa porini. Lakini kwa Adamu hakupatikana msaidizi wa kumfaa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:19-20