Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezra 1:1

Ezra 1:1 NEN

Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, ili kulitimiza neno la BWANA lililosemwa na nabii Yeremia, BWANA aliusukuma moyo wa Koreshi mfalme wa Uajemi kutangaza katika himaya yake yote kwa maandishi