Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 8:18-19

Kutoka 8:18-19 NEN

Lakini waganga walipojaribu kutengeneza viroboto kwa siri ya uganga wao, hawakuweza. Nao viroboto walikuwa juu ya watu na wanyama. Waganga wale wakamwambia Farao, “Hiki ni kidole cha Mungu.” Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile BWANA alivyosema.

Video for Kutoka 8:18-19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 8:18-19