Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 22:21-24

Kutoka 22:21-24 NEN

“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri. “Usimdhulumu mjane wala yatima. Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao. Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 22:21-24