Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 20:1-3

Kutoka 20:1-3 NEN

Ndipo Mungu akasema maneno haya yote: “Mimi ndimi BWANA Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 20:1-3