Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 16:3-4

Kutoka 16:3-4 NEN

Waisraeli wakawaambia, “Laiti tungelikufa kwa mkono wa BWANA huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.” Kisha BWANA akamwambia Mose, “Nitanyesha mikate kutoka mbinguni kwa ajili yenu. Watu watatoka kila siku na kukusanya kitakachowatosha kwa siku ile, kwa njia hii, nitawajaribu nione kama watafuata maelekezo yangu.

Video for Kutoka 16:3-4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 16:3-4