Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 20:3-4

Kumbukumbu 20:3-4 NEN

Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao. Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.”

Video for Kumbukumbu 20:3-4