Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 9:4-5

Matendo 9:4-5 NEN

Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 9:4-5