Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 8:34-35

Matendo 8:34-35 NEN

Yule towashi akamuuliza Filipo, “Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?” Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza habari njema za Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 8:34-35