Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:9-10

Matendo 27:9-10 NEN

Muda mwingi ulikuwa umepotea na kusafiri baharini kulikuwa hatari kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya siku za kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema, “Mabwana, naona kuwa hii safari ni yenye maafa na ya kuleta hasara kubwa kwa meli na shehena, pia kwa maisha yetu.”

Video for Matendo 27:9-10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 27:9-10