Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:44-45

Matendo 2:44-45 NENO

Waumini wote walikuwa mahali pamoja, nao wakashirikiana katika mambo yote. Waliuza mali yao na vitu walivyokuwa navyo, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.