Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 23:3-4

2 Samweli 23:3-4 NEN

Mungu wa Israeli alinena, mwamba wa Israeli akaniambia: ‘Mtu anatawala watu kwa haki, wakati anapotawala akiwa na hofu ya Mungu, yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 23:3-4