Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 5:7-8

1 Petro 5:7-8 NEN

Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu. Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.