Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 19:4

1 Wafalme 19:4 NEN

lakini yeye mwenyewe akatembea mwendo wa kutwa nzima katika jangwa. Akafika kwenye mti wa mretemu, akakaa chini yake na kuomba ili afe. Akasema, “Yatosha sasa, BWANA, ondoa roho yangu, kwani mimi si bora kuliko baba zangu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 19:4