Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 2:22

1 Yohana 2:22 NEN

Je, mwongo ni nani? Mwongo ni mtu yule asemaye kwamba Yesu si Kristo. Mtu wa namna hiyo ndiye mpinga Kristo, yaani, yeye humkana Baba na Mwana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 2:22