Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 4:14-16

1 Wakorintho 4:14-16 NEN

Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili. Basi nawasihi igeni mfano wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 4:14-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha