Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 12:4-7

1 Wakorintho 12:4-7 NEN

Kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni yule yule. Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni yule yule. Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote. Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 12:4-7