1 Nyakati 28:5-6
1 Nyakati 28:5-6 NEN
Miongoni mwa wanangu wote, naye BWANA amenipa wengi, amemchagua Solomoni mwanangu ili kukikalia kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA juu ya Israeli. Aliniambia, ‘Solomoni mwanao ndiye atakayejenga nyumba yangu na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye kuwa mwanangu, nami nitakuwa baba yake.