1
Wimbo Ulio Bora 1:2
Biblia Habari Njema
Heri midomo yako inibusu, maana pendo lako ni bora kuliko divai.
Linganisha
Chunguza Wimbo Ulio Bora 1:2
2
Wimbo Ulio Bora 1:4
Nichukue, twende zetu haraka, mfalme amenileta katika chumba chake. Tutafurahi na kushangilia kwa sababu yako, tutasifu mapenzi yako kuliko divai. Wanawake wana haki kukupenda!
Chunguza Wimbo Ulio Bora 1:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video