1
Zaburi 135:6
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.
Linganisha
Chunguza Zaburi 135:6
2
Zaburi 135:3
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.
Chunguza Zaburi 135:3
3
Zaburi 135:13
Jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, ladumu milele, utakumbukwa kwa fahari nyakati zote.
Chunguza Zaburi 135:13
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video