1
Zaburi 10:17-18
Biblia Habari Njema
Ee Mwenyezi-Mungu, wapokea dua za mnyonge; wampa moyo na kumtegea sikio. Utawatendea haki yatima na wanaodhulumiwa, binadamu aliye udongo asiweze tena kuleta hofu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 10:17-18
2
Zaburi 10:14
Lakini wewe wawaona wenye dhiki na shida; nawe daima uko tayari kuwasaidia. Mnyonge anakutegemea wewe, ee Mungu, wewe umekuwa daima msaada wa yatima.
Chunguza Zaburi 10:14
3
Zaburi 10:1
Ee Mwenyezi-Mungu, mbona wasimama mbali? Kwa nini wajificha wakati tumo taabuni?
Chunguza Zaburi 10:1
4
Zaburi 10:12
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwaadhibu; usiwasahau wanaodhulumiwa.
Chunguza Zaburi 10:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video