1
Kutoka 14:14
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
Linganisha
Chunguza Kutoka 14:14
2
Kutoka 14:13
Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
Chunguza Kutoka 14:13
3
Kutoka 14:16
Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Chunguza Kutoka 14:16
4
Kutoka 14:31
Waisraeli walipoona tendo hilo la ajabu alilofanya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Wamisri, wakamcha, wakawa na imani na Mwenyezi-Mungu na Mose mtumishi wake.
Chunguza Kutoka 14:31
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video