1
Yohana 20:21-22
Swahili Roehl Bible 1937
Yesu akawaambia tena: Tengemaneni! Kama Baba alivyonituma mimi, ndivyo, nami ninavyowatuma ninyi. Naye alipokwisha kuyasema haya, akawapuzia, akawaambia: Pokeeni Roho takatifu!
Linganisha
Chunguza Yohana 20:21-22
2
Yohana 20:29
Yesu akamwambia: Umenitegemea, kwa sababu umeniona. Wenye shangwe ndio wanitegemeao pasipo kuona!
Chunguza Yohana 20:29
3
Yohana 20:27-28
Kisha akamwambia Toma: Lete kidole chako hapa, uyatazame maganja yangu! Lete nao mkono wako, uutie ubavuni mwangu! Usiwe mtu asiyenitegemea, ila anitegemeaye! Ndipo, Toma alipomjibu, akamwambia: Bwana wangu na Mungu wangu!
Chunguza Yohana 20:27-28
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video