1
Matendo 7:59-60
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Wakampiga mawe Stefano, nae akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala.
Linganisha
Chunguza Matendo 7:59-60
2
Matendo 7:49
Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na inchi ni mahali pa kutia miguu yangu: Ni nyumba gani mtakayonijengea? asema Bwana: Au ni mahali gani nitakapostarebe?
Chunguza Matendo 7:49
3
Matendo 7:57-58
Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja, wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.
Chunguza Matendo 7:57-58
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video