1
Matendo 3:19
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Tubuni bassi, mrejee, illi dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuhurudishwa kwa kuwako kwake Bwana
Linganisha
Chunguza Matendo 3:19
2
Matendo 3:6
Petro akanena, Fedha sina, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Mnazareti, simama uende.
Chunguza Matendo 3:6
3
Matendo 3:7-8
Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, marra nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda: akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka, akimsifu Mungu.
Chunguza Matendo 3:7-8
4
Matendo 3:16
Na kwa imani ya jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnaemwona na kumjua: na imani ile iliyo kwa njia yake yeye imempatia huyu mbele yemi ninyi nyote uzima huu mkamilifu.
Chunguza Matendo 3:16
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video